Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewaagiza watendaji wa Mkoa wa Singida kuhakikisha wanajiimarisha kikamilifu katika ukusanyaji mapato ya ndani kwenye halmashauri zao ili kuleta maendeleo ya kweli kwa watu