MSANII wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amewaponda mapedeshee wa mjini waliokuwa wakimwaga pesa kwa wanawake kuwa kwa sasa wamekuwa zilipendwa kwani mastaa wengi wanaangalia mapenzi na sio pesa zao