7 years agoFatma Karume aeleza sababu za kuachana na Urais TLSRais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Fatma Karume ameweka wazi sababu za kutowania tena nafasi hiyo katika uchaguzi ujao. TLS inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais, Aprili mwaka huuRead More