KITAIFA9 months agoRASMI: Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ ni Kijani na NjanoYanga SC imekamilisha Usajili wa aliyekuwa Nahodha wa Simba Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’. Mchakato wa Kumsajili Zimbwe Jr ulikamilika Jana Usiku Muda mfupi Baada ya Mchezaji huyo kuwaaga Waajiri wakeRead More