Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemnunulia cherehani nne, Beatrice Mwalingo (28) ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa kwake siku tisa zilizopita. Januari 25, 2024 kupitia mtandao wa kijamii wa