Maafisa hao waliokuwa na nyuso zilizofadhaika walitabasamu walipoliona sanduku hilo likiwa salama na limefungwa kwa funguo kama lilivyokuwa lilipotoka benki. Baada ya kulipakia kwenye gari walilokuja nalo walinipa mikono ya