10 years agoWANNE WATIWA MBARONI KWA KUPIGA PICHA VIFAA VYA JWTZ NA KUVISAMBAZA MITANDAONIJESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema limeanza kuchukua hatua kali kwa watu waliohusika na upigaji wa picha wa vifaa vya kijeshi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii,Read More