Wanafunzi Watatu Walionusurika Katika Ajali Iliyoua 35 Kesho Watapelekwa Marekani Kwa Matibabu Zaidi
Watoto watatu walionusurika katika ajali basi iliyosababisha vifo vya wanafunzi, walimu pamoja na dereva wake mjini Arusha wanatarajiwa kusafirishwa kwenda kupatiwa matibabu zaidi nchini Charlotte North Carolina mwishoni mwa juma






















