Fiston Mayele anatarajiwa leo kukutana tena na mabosi wa Yanga kukata mzizi.
Mayele bado amekomalia kutaka aachwe akatafute changamoto mahali pengine
Wiki hii anaweza kuuzwa nje ya nchi kutokana na Ofa kubwa iliyopo mezani zaidi ya Sh 900milioni

