Kwa wakazi wa dodoma na viunga vyake jiji hilo linaanza kuonyesha matunda ya serikali kuhamia dodoma kwani tayari kuna maeneo mapya mengi yanayoonyesha dhahiri kuunga mkono serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha jiji la dodoma linakua na kujengeka kwa kiwango cha makao makuu ya nchi.
Moja ya eneo zuri la kutembelea uwapo jijini dodoma ni MALAIKA VILLAGE lililopo barabara kuu ya dodoma – morogoro wilaya ya Chamwino Chinangali II mkabala na makao makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ambapo katika eneo hilo utapata Huduma zifuatazo;
- Michezo ya watoto mfano Bembea na Swimming Pool ya Watoto.
- Swimming Pool kwa ajili ya watu wazima
- Sauna na SPA ya kiwango cha hali ya juu
- Massage nzuri ya kukuondolea uchovu wa Mwili
- Huduma za Malazi kwa ajili ya Mtu mmoja mmoja au Familia/Maharusi
- Huduma ya Supermarket.
- Huduma ya Ukumbi maalum kwa vikao vya Kikazi au Kijamii nk.
- Vyakula ya aina zote kuanzania Nyama Choma,Nyama Pori nk
- Supu na Michemsho ya aina zote
- Viwanja vizuri maalum kwa ajili ya kupiga Picha za Shuguli mbalimbali.
- TV Screen nyingi kwa ajili ya kuangalia mpira mechi za ligi mbalimbali duniani bure.
- Live Band Kila Ijumaa na Speacial Appearance artists nk.
- Happy Hour Kila wiki ikiwa na ofa mbalimbali za Vinywaji,Chakula nk.
Akiongea na mwandishi wetu meneja wa Hoteli Hiyo ambayo kwa sasa ndiyo inaongoza kwa kutembelewa na watu wapya jijini humo amesema anaendela kuwakarabisha wadau mbalimbali wa Burudani na wanaohitaji eneo zuri tulivu kwa ajili ya kufurahi wao,marafiki na hata na familia zao kuwa kwa sasa eneo ni Moja tu MALAIKA VILLAGE.
Kwa maulizo ya huduma mbalimbali na unaweza kuweka oda kwa kuwapigia
Malaika Village kwa Namba +255 746 727662
KARIBUNI SAANA MALLAIKA VILLAGE DODOMA
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









