Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Hapa ni Gongolamboto, naam , Gongolamboto ya sasa ya Mama Samia sio ileeee ya Wacheni tu na Marashi. Ni mwendo wa mwendokasi njia sita mpaka Kariakoo , Bilioni 231. Hakuna tunachomdai , 2025 Ukonga tutamlipa wema kwa wema 🙏—Jerry Silaa CCM KITAIFA MATUKIO SIASA