Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Nyakoro Sirro, amewaomba viongozi wa dini pamoja na wale wa siasa kulisaidia jeshi la polisi kupaza sauti na kutoa elimu juu ya mambo ya ubakaji jambo ambalo
Akizungumza leo na wanahabari, Jijini Dar es salaam, Kamanda Sirro amesema matukio ya kubaka yamekuwa changamoto kubwa kuliko uhalifu wa uporaji na matukio mengine.
Sirro amesema matukio ya ubakaji yameenea kwa kasi kutokana na mmomonyoko wa maadili.
Ameeleza kwamba wapo wanaume wenye umwri mkubwa lakini bado wanaenda kimapenzi na watoto wenye umri chini ya miaka 18 pasipo kujua kwamba hata kama ameridhia, “bado kisheria atakuwa anabaka”.
Sirro amesema kwamba kama jeshi la polisi kwa sasa linajipanga kuhakikisha kwamba wanatoa elimu mashuleni ili kuweza kuwajengea uelewa wanafunzi waweze kuepuka ulaghai.
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2ErfXtp
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







