Simba Yamnasa Nyota Huyu Mshambuliaji wa Kenya

Masama BlogMICHEZOKIMATAIFA4 months ago165 Views

Simba Yamnasa Nyota Huyu Mshambuliaji wa Kenya

Klabu ya Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao kwa kumsajili kiungo mshambuliaji kutoka Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Mohamed Bajaber.

Bajaber (miaka 22), ambaye alikuwa akikipiga Kenya Police FC, amesaini mkataba wa miaka miwili ambao utamuweka Msimbazi hadi Juni 2027.

Ni sehemu ya mikakati ya Wekundu wa Msimbazi kujenga kikosi imara kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani na kimataifa.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...