Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 23 April 2022 amekutana na kufanya kikao cha pamoja na kisha kushiriki iftar na wasanii na mbali mbali nchini Tanzania, katika hoteli ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa CCM Itikadi na Uenezi Ndg.Shaka Hamdu Shaka akiwa na Msanii Maarufu Wema Sepetu leo baada ya kushiriki na wasanii mbalimbali Iftar aliyowaandalia wasanii hao katika hotel ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wasanii waliohudhuria Iftar iliyoandaliwa na Katibu wa CCM itikadi na uenezi taifa Shaka Hamdu Shaka katika Hotel ya Golden Tulip Jijini Dar es Salaam
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









