Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe.Rosemary Senyamule ameshuhudia utiaji saini mkataba wa makubaliano ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha uzalishaji saruji kinachotarajiwa kujengwa wilayani Kongwa jijini Dodoma.
Makubaliano hayo ya ujenzi wa kiwanda hicho kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka na kuanza kuajiri wafanyakazi 5000 yamesainiwa na viongozi wa kampuni zilizoingia ubia ambapo kwa upande wa Tanzania alisaini Mkurugenzi wa Kampuni ya Alotab & Block BB, Abdul Hillary Ally (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Libyan Petrolium ya Libya, Dmjed Rajab (kulia).
Hafla hiyo imefanyika Machi 17, 2023 mbele ya wajumbe wa Baraza la Ushauri Mkoa wa Dodoma (RCC) jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Alotab & Block BB, Abdul Hillary Ally (kushoto) akitia saini mkataba huo.
Wakibadilishana hati
Mkurugenzi wa Kampuni ya Alotab & Block BB, Abdul Hillary Ally akitoa neno la shukrani kwa serikali.Mwenyekiti wa Kampuni ya Libyan Petrolium ya Libya, Dmjed Rajab akitoa neno la shukrani kwa serikali.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akielezea furaha yake kwa kampuni hizo kuamua kuwekeza kiwanda hicho Dodoma na kwamba kitasaidia kuleta ajira na kuinua pato la mkoa huo na Taifa kwa ujumla.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, wabia hao wakielezea sababu zilizowafanya wawekeze Dodoma…
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33












