Aidha Mhe.Senyamule amewapa salamu za kuitakia ushindi klabu ya Yanga kesho 28/05/2023 katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho La soka CAF barani Afrika dhidi ya Timu ya USM Algiers ya Algeria utakaochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mhe.Senyamule ameenda mbali zaidi kwa kuwataka mashabiki wote wa soka nchini bila kuangalia vilabu vyao kuishangilia timu ya yanga ili kumuunga mkono Mhe.Rais Samia katika kuinua michezo kwa kuitakia ushindi Yanga ambapo amesema ushindi wa Yanga hapo kesho ni muhimu sana na ni ushindi wa watanzania wote kwani Yanga inawakilisha Nchi na kuwataka mashabiki waweke uzalendo mbele kwa maslahi mapana ya Taifa kwa kuunga mkono juhudi hizo za Mhe.Rais Samia za kuhakikisha anaona sekta ya michezo inainuka nchini.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







