Na. Jeshi la Polisi,DODOMA
Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas, akimpitisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, akiwa ameambatana na Makamishna wengine kwenye maendeleo ya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari unaoendelea Mkoani Dodoma.Mpaka sasa jumla ya maghorofa sita yanajengwa kwa pamoja ambapo ujenzi huo umefikia katika hatua mbalimbali huku kila ghorofa moja ikiwa na sakafu (floor)Â nne.
Tukio hilo limefanyika leo Julai 15,2025 wakati Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, akifanya ukaguzi wa majenzi unaoendelea mkoani humo.Akihitimisha ukaguzi huo, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, kwa mara nyingine ameendelea kutoa shukurani kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kwa jinsi anavyoendelea kuboresha Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali ikiwemo ofisi, vyuo vya Polisi na makazi ya askari kama haya yanayoendelea kujengwa mkoani Dodoma.








Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






