Kijana huyu anaitwa VERY EVANS ni Kijana mtanzania mwenye bidii na anayejituma huku akifanya biashara yake ndogo kumuingizia kipato huko Kinondoni ya jijini Dar es Salaam.
Mwandishi wetu Baada ya kumuuliza endapo siku moja anatamani kuonana na msanii Diamond Platnumz amesema hakuna mtu ambaye hana Ndoto za kuonana na kijana aliyefanikiwa kama msanii Diamond hivyo naye angefurahi endapo angepata nafasi ya kuonana naye ili aweze kujadili naye mambo mbalimbali na kupata mawazo chanya ya mafanikio kwani naye anaamini kufanikiwa kunahitaji kujifunza zaidi kwa waliofanikiwa.
Kijana huy ameenda mbalki zaidi kwa kusema yeye ana ndoto za kuwa mfanayabiashara mkubwa huku akisema pia anatamani kuona vijana wengi wakijituma kwa wanayoyafanya ili nao waweze kujikwamua kimaisha huku akiwaasa kuwa na uzalendo kwa nchi yao ikiwepo kuunga mkono juhudi za kazi mbalimbali zinazofanywa na serikali kuwawezesha vijana na jamii kwa ujumla.
Kijana huyu anapatikana kwa namba 0763583265 yeye anaamini Msanii Diamond au uongozi wake wanaweza kumpata na kuonana naye kwani watu wengi wamekuwa wakimsumbua wakiamini ni ndugu au pacha wa Diamond Platnumz jambo linalochochea yeye kumtafuta Msanii huyo Mkubwa Tanzania na Afrika kwa sasa .
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








