Msafara wa Rais Mteule John Pombe Magufuli kuelkea Lumumba katika ofisi ndogo za CCM Mkoa wa Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete akisalaimiana na Rais Mteule John Pombe Magufuli
Rais Kikwete akihutubia mamia ya wakazi wa jijini Dar es Salaam waliofurika kwa Magufuli
wanachama wa CCM wakiwa wamekaa barabarani
Rais Mteule John Pombe Magufuli akihutubia wana CCM katika ofisi ndogo za mkoa wa Dar es Salaam
Spika wa Bunge Anna Makinda akiwa na Seif Khatibu wakifurahia jambo
Dkt John Magufuli akiwa na Makamu mteule Samia Suluhu wakionyesha cheti ch
Mwigulu Nchemba akiteta na Waziri mkuu










































