Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe David Mwakiposa Kihenzile amehudhuria mahafali ya 39 ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji yaliyofanyika wiki iliyopita jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais Mstaafu Mhe. Jakaya Kikwete.
Mahafali hayo yamefanyika sambamba na uzinduzi wa kitabu kilichoeleza historia ya Chuo hicho.
Akiongea Katika Mahafali hayo Naibu Waziri David Kihenzile alisema:
Nimetoa Salam za Serikali kwa niaba ya Waziri wa Uchukuzi Mh Profesa Makame Mbarawa nikieleza uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ya awamu ya Sita Chini ya Rais wetu Mhe.Samia Suluhu Hassan na kuwaahidi wanajumuia ya Chuo hicho na watanzania kwamba Wizara yetu itaendelea kutenga fedha kila mwaka ili kukiweezesha kutoa wataalam waliobobea katika Eneo la Uchukuzi.
Rai ya Mgeni Rasmi Mhe. Jakaya Kikwete katika mahafali ya NIT ni juu ya Uongozi wa Baraza la Chuo pamoja na maboresho yanayofanywa na Uongozi uzingatie Msingi wa kuanzishwa ikiwemo kuzalisha wataalam wa astashahada na stashada katika uchukuzi
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









