Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando, amepelekwa nchini India na familia yake kwa ajili ya kupata matibabu zaidi — yameripoti magazeti la MTANZANIA na MAJIRA siku ya Jumanne, Septemba 15, 2015.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), John Steven, alisema Marando aliondoka juzi na baadhi ya ndugu zake.
“Wameondoka Jumapili kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi, wenyewe walisisitiza tusitaje ugonjwa unaomsumbua ndugu yao, na kwamba ataeleza mwenyewe (Marando) pindi atakapopona”

Marando ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA, alifikishwa hospitalini hapo usiku wa Septemba 7, mwaka huu, baada ya kuugua ghafla akiwa nyumbani kwake na kuazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete karibu wiki nzima kwa ajili ya matibabu.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33