Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, Emmanuel Mbasha amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mahusiano yake kama amepata ubavu mpya baada ya kuachana na Flora .
Mbasha amesema kuwa kwa sasa yupo single, bado anasubiri mwanamke atakayechaguliwa na Mungu.
“Namuomba Mungu Mimi bado kijana siwezi kusema miaka yote nitaishi peke yangu. Namuomba Mungu aje anipe mke mwema na sahihi wa kufanya nae maisha na kukamilisha taratibu zote za kiheshima.”amefunguka Mbasha kwenye kipindi cha E-Gospel cha EFM.
“Kwa sasa hivi bado nipo single, Sina mchumba wala Girlfriend, nimeshachoka kuumizwa,”.
Mbasha amefunguka hayo, baada ya tetesi kuwa amepata mchumba mpya, ambaye mara kwa mara amekuwa akimposti kwenye ukurasa wake wa instagram.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





