Msanii Harmonize atangaza “Nimeacha Pombe Rasmi, sinywi tena Mungu nisaidie”

2 years ago124 Views

 

Baada ya Pombe kumpeleka ndivyo sivyo mpaka kufikia hatua ya kutoa siri zake za Ndani alizopitia na mchumba wake Kajala staa wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize atangaza kuacha pombe rasmi.
Harmonize ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika kuwa “Natangaza rasmi nimeacha pombe sinywi tena, Mungu nisaidie”. Moja kati ya matukio ya kukumbukwa wakati Harmonize anatumia pombe ni kuanika kila alichokipitia na mchumba wake Kajala mpaka kupelekea kuaachana kwao.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.