Siku ya Julai 24, 2020 inaingia kwenye kumbukumbu ya Taifa kwa kumpoteza Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, aliyeiongoza Tanzania kuanzia mwaka 1995 hadi 2005 na alizaliwa Novemba 12,1938.
Watu maarufu nchini wameonesha hisia zao kwa kuguswa na msiba huu na kueleza namna gani ambavyo wanamkumbuka Benjamin William Mkapa kupitia mitandao ya kijamii.
“Bado ni ngumu kukubali kwamba Mzee Mkapa hatunaye tena, pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania kwa ujumla kwa msiba huu mzito, Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi, tangulia Baba, nasi tunakuja” Mo Dewji

“Kwake tumetoka na kwake tutarejea, watanzania sote tutakukumbuka upumzike kwa amani Mstaafu Rais wetu” Mzee Yusuph
“Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa kiongozi wetu, mlezi wetu na Rais wetu mstaafu Mh Benjamin William Mkapa, salam za pole ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wa marehemu popote pale walipo, tupo pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu na Mungu awatie nguvu” G Nako Warawara
“Habari ya kusikitisha sana ambayo nimeamka nayo, Tumempoteza Rais wa awamu ya tatu Tanzania Benjamin William Mkapa, pumzika kwa nguvu ahsante kwa diplomasia yako, mchango wako na huduma zako kwenye jamii” Nikki Mbishi
“Nilipokea habari za Rais Benjamin Mkapa kwa huzuni kubwa, mtu wa kanuni, dhamira thabiti na uadilifu, rehema yangu kwa familia yake, marafiki, wanachama wa Chama cha CCM, na Tanzania nzima kwa ujumla, pumzika kwa amani Mzee Mkapa” Wakazi
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33