Miili ya wataalam tisa wa idara ya ardhi na idara nyingine za Serikali waliofariki kwa ajali ya gari baada ya kutumbukia Mto Kikwawila , inaagwa leo Februari 25, katika viwanja vya Can, Tangani mjini Ifakara.
Kwenye tukio hilo Viongozi mbali mbali wa serikali wamehudhuria, akiwemo Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Steven Kebwe, pamoja na wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero na Ifakara.
Ajali hiyo ilitokea Jumamosi ya Februari 23 saa 11 jioni katika Mto Kikwawila baada ya gari aina ya Toyota Land Cruiser Hard Top linalomilikiwa na wilaya ya Kilombero, kutumbukia kwenye mto huo na kusababisha vifo vya watumishi hao wa kitengo cha upimaji ardhi, hu
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2H0VVsA
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







