wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde leo amegawa vifaa vya michezo kwa Timu ya UMITASHUMTA Dodoma Jijini inayoshiriki mashindano ya michezo ya Shule za Msingi Mkoani Dodoma.
Mavunde amegawa vifaa hivyo vyenye thamani ya Tsh 3,000,000 leo wakati akizungumza na wanafunzi hao ambao wameweka kambi ya mafunzo katika Shule ya Sekondari Dodoma na kuwataka kuwahakikisha wanafanya vizuri katika mashindano hayo ambayo yanashirikisha na Timu zingine za wilaya za mkoa wa Dodoma.
kuunga mkono juhudi za kuimarisha michezo Jijini Dodoma,Benki ya Watu wa Zanzibar(PBZ),Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) na Kampuni ya Nicas Alminium ni miongoni mwa Kampuni zilizochangia vifaa vingine vya michezo.
kwa niaba,Afisa Elimu Msingi Jiji Mwl. Prisca Myalla* amemshukuru Mbunge Mavunde na wadau wote wa michezo kwa kuwatia moyo wanafunzi hao na kuahidi kusimamia ipasavyo timu hiyo ya wanafunzi ili iweze kufanya vizuri katika mashindano hayo ya mkoa na kuliletea sifa Jiji la Dodoma.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










