Aidha Silaa ameelezea jinsi ambavyo barabara za jiji la Dar es Salaam zimekuwa kero kwani hata akiwa jimboni kwake akiwa katika majukwaa ya kijamii mfano shughuli za dini (Pasaka au Mwezi Mtukufu) anajikuta akipata maoni au ”Komenti” zinazoonyesha wazi wananchi wa jimbo lake wanahitaji barabara na kero mojawapo kwa wakazi wa ukonga na dar es salaam ni Barabara.
Haya hapa mapenedekezo ya ongezeko hilo toka kwa Mbunge huyo:-
Matumizi ya Mafuta Nchini lita (siku) 10,769,686
(diesel 6,365,578, petrol 4,365,578 na kerosine 37,614) Matumizi ya Dar ni lita 3,399,944 sawa na 31.5%
Bei ya mafuta ;
Dar Tzs 2847 (wastani)
Ngara Tzs 3050 tofauti ni Tzs 203
Tunaomba tozo ya Tzs 100 ya Dar Tutapata 339,994,400 kwa siku.
Tzs 124,097,956,000 kwa mwaka.
Bei ya Dar itakuwa 2947 kama Arusha au Chemba
Kwa kuwa matumizi ya Dar ni 31.5% ya mafuta yote; Serikali itoze Tzs 31.5 kwa kila lita na Ewura wafidie kwenye Bei.
Sikiliza Video Hii Hapa Mbunge Silaa akielezea kwa kina.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







