
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amesema uamuzi uliofanywa na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wa kukihama chama hicho yalikuwa ni maamuzi yake binafsi.
Freeman Mbowe ametoa kauli hiyo Jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya siasa nchini ambapo kwa sasa amesema amefunga mjadala wa kiongozi huyo.
Mbowe amesema, “kuhusu aliyekuwa mgombea wetu 2015, Edward Lowassa baada ya kurudi CCM, vyama vyote vinakusanya watu kwa mahitaji maalumu na watu hao wanakuwa na mambo yao pengine kutaka kuwatumikia watu au tamaa ya madaraka”.
Kuhusiana na kukaa magerezani kwa muda mrefu Mbowe amesema, “kuna ugonjwa uliopo magereza kwa lugha ya huko unaitwa ‘Burudani’ ambao ni ugonjwa wa ngozi na unaambukiza, chanzo chake ni Kunguni na Chawa”.
Mbowe pamoja na Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko wamekaa kwa zaidi ya miezi 3 gerezani kutokana na kosa la kukiuka masharti ya dhamana.
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/2HCOAzF
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





