Msanii wa muziki wa Bongo fleva anayefanya vizuri chini ya Label ya WCB, Abdul maarufu kama Lavalava amefunguka na kuweka wazi kuwa hawezi kumuanika Mpenzi wake hadharani.
Tofauti na wasanii wenzake wa WCB, Lavalava pekeee Ndiye ambaye amekuwa akimficha Mpenzi Wake na haijawahi kujulikana ana mahusiano na mwanamke gani tangu alipopata umaarufu.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Lavalava ameweka wazi kuwa haoni ulazima wa yeye kumuonesha mchumba wake kwasababu sio malengo yake na itaharibu kabisa mfumo wa muziki wake kwasababu watu watavumisha sana.
Nadhani sio lazima sana watu kujua uhusiano wangu kwasababu hayo ni mambo yangu binafsi jamani yaani kama ningekuwa sijatoa ngoma kwa muda mrefu basi ingekuwa ni haki y a o kuhoji lakini u h u s i a n o wangu hauwah u s u kwasab a b u malengo yangu ni kufanya muziki wangu ujulikane zaidi kuliko mahusiano yangu”.
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2TgEsD4
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







