Mashabiki Zaidi ya Milioni 30 Wamtaka Mbappe Kuondoka Real Madrid
Zaidi ya Mashabiki Milioni 30 wa Real Madrid wamesaini ombi la kumtaka Kylian MbappĂ© aondoke katika klabu hiyo kutokana na kukosa matokeo na kutofanya vizuri nje ya Uwanja. Siku mbili zilizopita, ombi lilizinduliwa kwa Mashabiki wa Real Madrid kusaini ombi la kutaka Kylian MbappĂ© aondoke katika klabu hiyo. Ombi hilo awali liliwekwa kwa lengo la … Continue reading Mashabiki Zaidi ya Milioni 30 Wamtaka Mbappe Kuondoka Real Madrid
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed