Reposted from @mangekimambi_ – Watanzania vitu vingine mnaweza kujifunza kwa kugoogle to. Hakuna tunzo kubwa za filamu duniani kama OSCAR na mara kibao tunaonana vitoto vidogo vinashindanishwa na wazee, mara nyingi hawashindi ila sometimes wanashinda.
Kuna kitoto cha miaka 10 kilishashinda OSCAR tunzo kubwa ya filamu duniani kwenye category ya muigizaji bora kikawashinda vikongwe wa filamu.
Tatizo watanzania wengi exposure ni ndogo mnooo. Mnashindwa hata kuelewa kuwa tunzo huwa zinaangalia kazi ya muigizaji kwa mwaka huo uliokwisha na sio kazi zao za miaka yote na ndio maana kitoto kidogo kinaweza kushinda tunzo. . Inabidi mjiulize why tuzo zipo kila mwaka na sababu ni kwamba wanaangalia kazi za mwaka mmoja TU!! .
Mmekaa mnalalamika tu, mmesahau Lupita Nyongo alishinda oscar ya best actress (supporting role)mwaka wake wa kwanza kabisa kuingia Hollywood na alishindanishwa na vikongwe kina Julia Roberts na akamshinda Julia Roberts. Sababu kubwa ni kwamba waliangalia kazi zao kwa mwaka wa 2013 tu wakaona kwa mwaka huo Lupita alimzidi Julia Roberts. Na movie aliyo act Lupita niliidharau sana ilipotoka niliiyonaga ya kizamani ila aliposhinda Lupita ndo nikaiangalia movie nzima.
So acheni upuuzi wa watoto kushindanishwa na watu wazima yani mnajionyesha mlivyo hamjaenda shule. Wengine eti ooh watoto wangewekwa category ya upcoming, jamani tuzo za filamu hazinaga category ya upcoming hizo huwa ni tuzo za mziki. .
Also hizi tuzo huwaga haziko perfect. Hata hapa marekani watu huwa wanalalamika kama Star anaempenda yeye hajashinda.
Na Wema aache utoto, ajifunze kukaa kimya. Anaruhusiwa kuumia ila sio kulalamika publicly,hata kama ni kweli kaonewa hatakiwi kusema sababu yeye alikuwa mshindani. Alitakiwa awaachie mashabiki wake ndio walalamike hapo kungekuwa na uzito Ila yeye kulalamika ni kama anawatia moto watu, VERY UNPROFESSIONAL. Huyo Johari ndo katia aibu jamani🙆🏽‍♀️. Mbona kina Monalisa wako very professional? .
La mwisho kabisa, Hamisa Mobetto aache kupania shughuli za watu sio kwa kupendeza kule utasema alikuwa nominee
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2GJf1nJ
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








