Man United Wabeba Kombe la Kwanza la Msimu

Masama BlogMICHEZOKIMATAIFA6 months ago159 Views

Man United Wabeba Kombe la Kwanza la Msimu

Timu ya Manchester United imetwaa ubingwa wa kombe la ‘Premier League Summer Series’ kufuatia sare ya 2-2 dhidi ya Everton katika dimba la Mercedes-Benz, Atlanta, Georgia Marekani.

Michuano hiyo ya maandalizi ya msimu mpya ilishirikisha timu nne za Ligi Kuu England Man United, West Ham United, Everton na Bournemouth ambapo Mashetani hao Wekundu wamemaliza kileleni pointi 7 baada ya mechi tatu, wakishinda mechi mbili na kutoka sare mechi moja.

FT: Man United 2-2 Everton
⚽ 18’ Bruno (P)
⚽ 69’ Mount

⚽ 40’ Ndiaye
⚽ 75’ Heaven (og

MSIMAMO:

Man UTD — mechi 3 — pointi 7
West Ham mechi 3 — pointi 6
Bournemouth mechi 3 — pointi 3
Everton mechi 3 — pointi 1

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.