Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango Ametoa wito kwa Wazazi na walezi kuwalea watoto kwa kuzingatia Maadili ya Kitanzania na kuongeza umakini katika Maadhui wanayoangalia watoto kwenye Televisheni.
Akizungumza na Waumini wa kijiji cha Kasumo mkoani Kigoma mara baada ya kushiriki Ibada ya kawaida ya katikati ya Wiki katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikra Maria #DktMpango Amesema kuwa Maadili ya Kitanzania kwa sasa yameporomoka kwa kiasi kikubwa sana na kushangazwa na vitendo vya Ndoa ya Jinsi Moja .
DktMpina Amesema …. “Ndoa za wanaume wawili,Ndoa za Wanawake wawili mliziona wapi? hata wanyama hawafanyi hivi kwahiyo niwasihi sana mchague watoto/vijana wanaangalia nini kwenye Televisheni vinginevyo tutakuwa na Taifa la Ajabu”
.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







