Mahusiano: Jamani anataka turudiane akidai mimba ni yake, nifanyaje?
Naitwa Sonia kutokea Tanga, niliolewa mwaka 2010 huku huku Mombasa nikiwa kama mke wa pili kwa mume wangu ambaye mke wake wa kwanza alikuwa ameshajaliwa naye watoto wawili.
Hii ni ndoa ambayo nilipitia mambo mengi sana kiasi kwamba kamwe siwezi kuja kusahau kabisa maishani mwangu, hiyo ni kutokana sikuweza kubeba ujauzito mapema kama ambavyo mume wangu alitarajia.
Baada ya miaka kama mitatu ndani ya ndoa, mume wangu alianza kupunguza mapenzi aliyokuwa akinipa na kunionyesha kama mke mdogo, mara nyingi alikuwa akikaa zaidi na mke mkubwa.
Hata wiki moja ilikuwa inaisha bila ya yeye kunigusa, kuna kipindi nilikuwa naletewa maneno na marafiki zangu kuwa mke mkubwa anasema ndoa muda sio mrefu itanishinda kwa sababu mimi sizai…Soma Zaidi hapa
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






