Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, leo Februari 18, 2019, imetengua uteuzi wa wajumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama cha Wananchi (CUF) wa kambi ya mwenyekiti anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba pamoja na wale wa Maalim Seif.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Dk. Benhajj Masoud ambapo baada ya kubatilisha uteuzi wao, amesema majina yaliyokuwa yamependekezwa na kambi ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, hawakuwa na sifa ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa bodi hiyo, hivyo nao hawakuwa wamekidhi matakwa ya sheria.
Wakili Juma Nassoro wa CUF kutoka kambi ya Maalim Seif, amesema wajumbe wa bodi waliokuwepo wanaendelea na majukumu yao licha ya kwamba muda wao umeshaisha, hadi hapo wajumbe wengine watakapoteuliwa.
Katika kesi ya Msingi, Mbunge wa Malindi (CUF), Ally Saleh, alifungua kesi hiyo akipinga uamuzi wa Wakala wa Usajili, Udhamini na Ufilisi (Rita) wa kuwaidhinisha wajumbe waliopendekezwa na kambi ya Profesa Lipumba kuwa wajumbe wapya wa bodi hiyo.
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2GTzXI5
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







