Msichana mwenye umri wa miaka 18, ambaye alizirahi kwa muda wa siku nne baada ya kuumwa kichwa ashangazwa kujikuta amejifungua mtoto wa kike.
Ebony Stevenson,kutoka Oldham,hakuwa anajua kama ana ujauzito na alienda kulala kwa sababu alikuwa hajisikii vizuri.
Msichana huyo alipelekwa hospital mara baada ya kuonekana amepitiwa usingizi kwa muda mrefu hivyo waliamua kumpeleka kupata huduma ya afya na kubainika kuwa ana ujauzito.
Mtoto wake alikuwa amejificha katika mfuko wa uzazi ambao ulikuwa umejificha, jambo ambalo huwa linatokea mara chache.
Kati miji miwili ya uzazi, mmoja ulikuwa unaendelea kumfanya dada huyo kuendelea kutoa hedhi huku mji mwingine ukiwa unakuza mtoto.
Mji huo wa mimba ulikuwa umekaa katika mgongo jambo ambalo lilisababisha ujauzito usionekane.
Msichana huyo ambaye ni mwanafunzi wa michezo na yoga hakuwa amepata muonekano wa mimba, kuugua muda wa asubuhi au kukosa hedhi yake.
‘Huu ni muujiza’
Msichana huyu ambaye amejifungua kwa mara ya kwanza ,amesema kila kilichotokea kwake kupata mtoto kinamshangaza.
“Nina hofu namna nitakavyoweza kumlea mtoto wangu ,maana sikumuona hata wakati anatoka tumboni kwangu au kuhisi kuwa alikuwa tumboni kwangu, ila nafikiri kuwa ni mtoto mzuri sana”
” Huu ni muujiza mkubwa sana kwangu.”Ebony alieleza.
Ebony alifanyiwa upasuaji wa dharura ili ajifungue mtoto wake,saa tatu baada ya kushtuka kwa nguvu kutoka kwenye usingizi mzito.
Mama yake binti huyo Stevenson, mwenye umri wa miaka 39 alisema kuwa alipiga simu ya dharura baada ya mtoto wake kuanza kuumwa na kuanguka bafuni.
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2NjXFOQ
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







