UONGOZI wa Simba SC upo sokoni kutafuta mrithi wa Abdelhak Benchika ambaye aliondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu, na majukumu yake kukaimiwana Juma Mgunda.
Makocha wengi wametuma CV zao Simba, lakini hadi sasa ni makocha wawili tu ndiyo wanapewa nafasi kubwa zaidi ya kuvaa viatu vya Mmoroco huyo.
Kuna Kocha aliyewahi kuifundisha Mamelod Sundowns Steve Komphela jina lake ndiyo likuwa la kwanza kabla ya upepo kubadilika siku ya jana.
Fadlu Davids amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Bodi ya Simba Sports Club, Salim Abdallah Muhene mazungumzo yao yamekuwa mazuri, anaweza akasaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha Simba.
Fadlu Davids ana umri wa miaka 43, Ni raia wa Afrika Kusini ๐ฟ๐ฆ kwasasa ni kocha msaidizi wa Raja Casablanca ya Morocco ๐ฒ๐ฆ.
Fadlu Davids ana Leseni ya Uefa Pro Licence, anapendelea mfumo wa 4-2-3-1.
Msimu wa mwaka 2018/19 na 2021/22 alikuwa Kocha msaidizi wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini.
Msimu wa 2022/23 alikuwa Kocha msaidizi wa Locomotiv Moscow ya Russia ๐ท๐บ.
Msimu wa 2023/24 Kocha msaidizi wa Raja Casablanca ya Morocco ๐ฒ๐ฆ ambae ni hadi sasa.
Fadlu Davids amekuwa sehemu ya wanaounda benchi la ufundi la majerumani Joe Zinnbaeur ambae kwasasa ni kocha mkuu wa Raja Casablanca, mara zote anapoajiriwa kocha wake msaidizi ni muafrika Kusini Fadlu Davids.
Fadlu Davids ameshakuwa Kocha mkuu mara kadhaa akiwa na Kikosi cha Orlando Pirates pamoja na Martizburg United zote za Afrika Kusini
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







