Kichwa cha James Temba Chapatikana

Hatimaye Kichwa cha James Temba Chapatikana Kitunda Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kupata kichwa cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), James Temba, ambaye mwili wake ulipatikana katika Mto Msimbazi mnamo Aprili 30, 2026. Akizungumza na Vyombo vya Habari, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar … Continue reading Kichwa cha James Temba Chapatikana