
Joshua Nassari.
Aliyekuwa mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua Nassari amedai kuwa kitendo cha kuvuliwa ubunge ni uonevu dhidi yake, na kusisitiza kuwa fikra hizo zipuuzwe.
Nassari ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja tangu Spika Job Ndugai alipomwandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC,) Jaji Semistocles Kaijage kumtaarifu kuhusu jimbo hilo la Arumeru Mashariki kuwa wazi baada ya mbunge wake kupoteza sifa.
Nassari amesema kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari kwa undani, na kuahidi kuitafuta haki popote na kwamba alikuwa kimya kwa kuiheshimu sheria.
“Watanzania wenzangu na Watu wangu wa Arumeru. Tumefanyiwa dhuluma na uonevu. Nitazungumza kesho na vyombo vya habari kwa undani kuhusu jambo hili. Tutaitafuta haki popote. Katika hatua ya sasa, puuzeni fikra hasi zinazoenezwa na maadui zetu dhidi yangu, hata hivyo niliheshimu sheria na vielelezo vipo”, ameandika Nassari.
Mbunge huyo amevuliwa ubunge akiwa anatekeleza majukumu ya kibunge kwa sababu alikuwa katika ziara ya kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii iliyokuwa Chuo cha Mwika, Moshi mkoani Kilimanjaro.
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/2Jg9Aih
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





