Jionee jinsi Familia 20 zilivyokumbwa na mafuriko Kinondoni Dar es Salaam

2 years ago91 Views

 

Familia zaidi ya 20 katika mtaa wa Mkunguni A kata ya Hananasifu katika manispaa ya Kinondoni

Familia zaidi ya 20 katika mtaa wa Mkunguni A kata ya Hananasifu katika manispaa ya Kinondoni nyumba zao zimeingiliwa na maji kufuatia mvua iliyonyesha leo na hivyo kulazimu familia hizo kuishi maisha ya hofu kutokana na usalama wa maisha yao kuwa hatarini.

Wakizungumza nasi, familia hizo zimesema hali hiyo imewasababishia kushindwa kutoka kwenda kwenye shughuli zao za kiuchumi na hivyo kutumia muda mwingi kuchota maji yaliyoingia ndani ya nyumba zao na kuyamwaga nje huku wakieleza vyombo pamoja na vitanda vimesombwa na maji

Kwa upande wake Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo wa Mkunguni A Jumanne Said ameiomba serikali kuharakisha zoezi la kuwalipa fidia wananchi hao kwani walishafanyiwa tathimini na kutakiwa kuondoka

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.