Jinsi ya Kupata Namba Yako ya NIDA Tanzania

Jinsi ya Kupata Namba Yako ya NIDA Tanzania, Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIDA Number) ni namba ya kipekee inayotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa raia wa Tanzania na wageni wanaoishi nchini kisheria. Namba hii hutumika kutambua mtu katika huduma mbalimbali za serikali na binafsi kama benki, simu, afya, ajira, elimu, na huduma za … Continue reading Jinsi ya Kupata Namba Yako ya NIDA Tanzania