“Hakuna kitu kama hicho, hayo ni maneno tu ya watu.Mimi na Ali Kiba ni kama dada na kaka, hakuna linaloendelea.Kifupi ni kwamba huyo Kiba mwenyewe sijaonana nae muda mrefu sana”
Huo ni utetezi wa Wolper baada ya madai kwamba wamerudisha penzi lao lililokufa miaka mingi iliyopita na kwamba wawili hao hivi sasa wamekuwa wakikutana kwa siri kubwa kutokana na kila mtu kuwa na mtu wake…
Habari kutoka kwa familia ya Jack Wolper zinadai kuwa hivi sasa wawili hao wamekuwa pamoja tena baada ya kukutana hivi karibuni na kukubaliana kurudisha penzi lao…
Wolper mara kadhaa amenukuliwa akidai kuwa Ali Kiba ndiye mwanaume aliyembikiri siku za mwanzoni kabisa kuingia jijini Dar wakati huo wote wawili wakiwa siyo mastaa.
Gumzo
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






