
Mwanadada Iren Uwoya amefunguka na kusema kuwa ikitokea msanii Dogo Janja akitaka kufanya nae kazi ya kutaka kutikea katika video yake yoyote basi anaweza kufanya nae kazi hiyo endapo tu ataweza kulipa pesa ambayo anataka yeye.
Dogo Janja na iIrene ambao walikuwa mke na mume lakini wametengana hivi karibuni kutokana na skendo za mwanaume huyo kuchepuka na wema sepetu wamekuwa kama maadui kwa sasa huku kila mmoja akikaa kimya kutokuongelea mahusiano yao.
Hata hivyo Irene anasema kuwa kikubwa kwake pesa tu ‘niko tayari kuwa video model katima video yoyote ya Dogo janja ilimradi tu kamaatakuja na dau zuri la kueleweka, kwanini nishinde?”
Irene anasisitiza kuwa kwa sasa kila kitu anachokifanya kinachoonekana katika mitandao kuhusu yeye kinasimamamiwa na uongozi wake na wala sio wanaume kama watu wanavyosema.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






