Mshindi wa BBA, Idris Sultan amesema penzi lake mwigizaji Wema Sepetu lipo palepale na mwanadada huyo hana mtu mwingine wa Kikongo kama ilivyodhaniwa hivi karibuni.
Idriss amefunguka yote hayo katika mahojiano na kipindi cha ‘Friday Night Live’ kinachorushwa na EATV kila siku ya Ijumaa.
Akijibu swali la mtangazaji Sam Misago kuhusu mahusiano yake na Wema Sepetu kwa sasa kwamba inasemekana hawapo sawa Idris amesema
”Mimi na Wema Sepetu ni Mwaa bado tupo zizuri kabisa”
Alipoulizwa kama ni kweli anampenda Wema au anatafuta ‘kiki’ amasema ingekuwa anatafuta umaarufu wa namna hiyo basi angeamka asubuhi na kuandika asubuhi ‘kiki day’
Kuhusu watoto ambao alisema walipotea kabla hawajazaliwa Idris amesema awamejifunza kitu kutotoa taarifa kabla ya ujauzito haujafika hata miezi 3 hadi 5.
Aidha kuhusu saa yake aliyoionyesha kwenye mitandao ya kijamii ambayo watu wanadhani ni feki Idriss ametamba kuwa saa yake ni ‘original’ na alipewa zawadi na mfalme mmoja barani Afrika.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






