Hii ndiyo Tarehe Rasmi ya Kuanza Mchakato Kumtafuta Papa Mpya

Admin Updates1 month ago10 Views

 Vatican Yatangaza Tarehe Rasmi ya Kuanza Mchakato Kumtafuta Papa Mpya

Ofisi ya Habari ya Vatican imetangaza kuwa kikao cha #Conclave cha kumchagua Papa mpya kitaanza rasmi tarehe 7 Mei.

Maamuzi haya yalifikiwa na Makardinali walioko Roma siku ya Jumatatu, wakati wa mkutano wao wa tano wa Maandalizi (#GeneralCongregation).

Conclave hiyo itafanyika ndani ya Kanisa la Sistine lililopo Vatican, ambalo litafungwa katika kipindi hicho maalum.

Wakati huu, dunia nzima inaelekeza macho Vatican, ikisubiri kwa hamu jina la kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki!

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.