ELIMU: Hii ndio Jinsi ya Kuangalia DENI la Gari, TMS Traffic Check

1 year ago113 Views

 

Jinsi ya Kuangalia DENI la Gari, TMS Traffic Check
Je unatatizo la traffic barabarani na unahitaji kulipia deni la gari lako?
Au ulikua unataka kuhakikisha kama gari lako lina deni au laa?
Umepoteza karatasi ya kulipia fine ya gari lako kwaio unajiuliza utafanyaje uweze kulipia deni la gari lako?
Njia sahihi ni ku Bofya link ya hapo chini itakupeleka ukurasa wa kuweza kuandika namba ya gari lako na kuona kama linadaiwa au laa. Hii link itakuwezesha pia kupata control number kwa ajili ya kufanya malipo
Au Unaweza kujaza namba za Gari lako hapo kwenye Jedwali kisha bonyeza Search utapata matokeo ya chombo chako

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.