Ndg. Richard Atugwe Kasesela (MNEC)
Amekuwa kiongozi,Mchapakazi na mtu mwenye mchango mkubwa kwa Chama Cha Mapinduzi pamoja na Serikali akishika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama Cha Mapindu,Mtu makini na Mwema anaitwa Ndugu Richard Atufigwe Kasesela.
Ndugu Kasesela (pichani) ameshika nafasi mbalimbali zikiwepo Uongozi katika Bodi za Serikali,Mkuu wa Wilaya na nyingine nyingi na kutoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya Taifa na kwa sasa ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC),Anaposheherekea siku yake ya kuzaliwa,Uongozivmzima wa Masama Blog unamtakia afya njema na maisha marefu daima aendelee kutoa mchango kwa taifa letu na chama cha mapinduzi daima kwani wapo vijana na viongozi wengi wanajifunza kupitia yeye.
HAPPY BIRTHDAY BROTHER ATUFIGWE KASESELA
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








