Halima Mdee ambaye ni Mbunge wa Kawe (Chadema), jana Jumapili Februari 24, 2019 saa 10 jioni alipata dhamana baada kushikiliwa kituo cha polisi Oysterbay kwa zaidi ya saa 24.
Mdee alikuwa akishikiliwa kituoni hapo baada ya kuitikia wito wa mkuu wa upelelezi mkoa wa kipolisi Kinondoni (RCO) Jumamosi Februari 23, 2019.
Hekima Mwasipu ambaye ni wakili wa Mdee amesema;”Tumehangaika tangu juzi lakini tunashukuru jana amepata dhamana ya polisi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili na kutakiwa kuripoti kwa mkuu wa upelelezi Februari 26”
Halima Mdee alidhaminiwa na Hekima na mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Anatropia Theonest.
Mdee anadaiwa kutoa kauli ya uchochezi alipokuwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kata ya Mikocheni, tarehe 21 Februari 2019.
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2E9Agvf
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







