Moja wa watu wanaokaa katika mitandao kwa muda mrefu na wamekuwa wakiwakosoa sana wasanii na watu wanaoenda kinyume, lakini pia amekuwa na page ya udaku kwa ajili ya mastaa mbalimbali Juma lokole amefunguka na kuongea kile anachokiona na jinsi watu wanavyokuwa wakimtuhumu hamisa mobeto juu ya mahusiano na wanaume tofauti.
Juma Lokole anasema kuwa hamisa ni kweli muwizi wa wanaume za watu wa sababu watu wamekuwa wakimtuhumu kila mara kuhusu swala hilo kuwa ni tabia yake.
Maneno ya juma yanakuja baada ya mwanadada huyo kutuhumiwa hivi karibuni kuwa aliiba bwana wa Tahiya ambae baada ya kumuuliza alikataa lakini cha ajabu mwanadada huyo alimuweka wazi mwanaume huyo na kuonekana kuwa ni mwanaume wake.
Hata hivyo hii itakuwa mara ya kwanza kwa sababu hamisa aliwahi kutoka kimapenzi na Diamond na hata kupata nae mtoto kipindi ambacho Diamond alikuwa kwenye mahusiano na Zari the bossy.
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2HHcLyz
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







