Halima Mdee simfuati Ester Bulaya na ‘Sina Pa Kwenda’

Masama BlogSIASA5 months ago205 Views

Halima Mdee simfuati Ester Bulaya

Wengi walidhani baada ya Mbunge Ester Bulaya Kurudi CCM walitarajia rafiki yake Halima Mdee huenda angehamia chama kingine.Hali imekuwa tofauti baada ya kauli ya Halima Mdee huku akisema hawezi kuhama Chadema kwani ndipo nyumani kwao.

“Wengine wanakuja na kuondoka kwasababu wana kwao na wanarudi kwao, Mimi siwezi kuondoka CHADEMA kwakuwa hapa ndio kwetu na sina kwingine pa kwenda ambapo ni kwetu, kwetu ni hapa”

SOMA ZAIDI STORI HIZI HAPA

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.